Corona yaingia Kenya

Corona yaingia Kenya

Watch this video on YouTube.

Kisa cha kwanza cha virusi vya Corona kimeripotiwa nchini Kenya na kusababisha hofu. Waziri wa afya Mutahi Kagwe akitangaza kuwa kisa hicho kilithibitishwa hapo jana baada ya mgonjwa huyo kufika hospitalini tarehe tisa kupata matibabu alipoonyesha dalili za virusi hivyo. Na kama anavyoarifu Chemutai Goin, watu saba waliotagusana na mgonjwa huyo wametengwa kwa uchunguzi zaidi.

supply

pardasi65

pardasi65

%d bloggers like this: