Kenya twasherehekea mashujaa wa uokozi hotelini Dusit

Kenya twasherehekea mashujaa wa uokozi hotelini Dusit

Watch this video on YouTube.

Shambulizi l. a. jengo l. a. Dusit eneo l. a. 14 Riverside limedhibitisha uzalendo wa wakenya katika wakati mgumu. Kuanzia Douglas Kanja – kamanda wa GSU, Musa Yego – kamanda wa Flying Squad, George Kinoti – mkurugenzi wa jinai, Inayat Kassam – raia ambaye alijitolea kuwaokoa wananchi sio tu katika shambulizi l. a. jana bali pia wakati wa shambulizi l. a. westgate septemba mwaka 2013. Maafisa wa kitengo cha recce, na wale wa jeshi, wahudumu wa kujitolea wakiongozwa na abbas gullet na wengine wengi ambao kwa njia moja au nyengine wametukumbusha kuwa umoja ni nguvu! Tazama.

Citizen TV is Kenya’s main tv station commanding an target audience succeed in of over 60% and in its over 12 years of life as a pioneer emblem for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints around the nation leaving no area exposed.

This is your very best channel for the most recent and breaking information, most sensible tales, politics, industry, sports activities, way of life and leisure from Kenya and around the globe.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

supply

pardasi65

pardasi65

%d bloggers like this: