| KIMYA AKILINI | Matatizo ya akili miongoni mwa walinda usalamaZaidi ya maafisa 50 wa polisi, wamelazwa katika vituo mbalimbali vya afya ya akili nchini, huku wengine wengi wakiendelea kupata huduma za matibabu kutokana na maradhi ya akili. Hali hii inasababishwa na mazingira yao ya kazi. Takwimu hizi zinatia hofu, ikizingatiwa kwamba maafisa hawa, wana jukumu kubwa l. a. kulinda wakenya na mali. Steve Shitera anatuarifu mengi katika makala ya Kimya Akilini.

supply

pardasi65

pardasi65

%d bloggers like this: