| MWANAMKE BOMBA | Latifa Ismail – Mfanyabiashara mwenye miaka 21, na anaazimia kuwa msanifuujenzi

| MWANAMKE BOMBA | Latifa Ismail - Mfanyabiashara mwenye miaka 21, na anaazimia kuwa msanifuujenzi

Watch this video on YouTube.

Katika Makala yetu ya mwanamke bomba leo tunamuangazia latifa Ismail ambaye katika umri wake wa 21 tayari amejitambua na kuanzisha biashara inayompa kipato.
Hata hivyo licha ya uzidi kujiimarisha katika kazi hiyo bado hajakata tamaa ya kufikia ndoto yake ya usanifu mijengo

supply

pardasi65

pardasi65

%d bloggers like this: