Rais asema atapambana vikali mahakamani kuokoa BBI



Rais Uhuru Kenyatta amesema yuko tayari kuongoza mapambano makali kortini kuhakikisha mchakato wa kurekebisha katiba kupitia BBI hauzimwi. Rais amesema kuwa BBI sio mchakato wa kumfurahisha yeye na kiongozi wa ODM Raila Odinga, bali ni mchakato wa kuwasaidia wakenya wote.

supply

pardasi65

pardasi65

%d bloggers like this: