Rais Kenyata anatarajiwa kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo eneo la Nyanza

Rais Kenyata anatarajiwa kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo eneo la Nyanza
Watch this video on YouTube.


Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuzindua miradi kadhaa ya maendeleo katika ziara yake ya kaunti ya Kisumu kabla ya kuungana na wenyeji wa kaunti hii kuadhimisha sherehe ya Madaraka. Kati ya miradi hiyo ni bandari ya Kisumu, upanuzi wa barabara miongoni mwa mengine. Wadadisi wakioanisha miradi hii na uhusiano wa rais na kinara wa ODM Raila Odinga baada ya handsheki. Chemutai goin yuko kisumu na ametuandalia taarifa ifuatayo

supply

pardasi65

pardasi65

%d bloggers like this: