Rais Kenyatta asema uamuzi wa mahakama kuhusu BBI uliwavunja wengi matumaini

Rais Kenyatta asema uamuzi wa mahakama kuhusu BBI uliwavunja wengi matumaini
Watch this video on YouTube.


Rais Uhuru Kenyatta leo ameliongoza taifa kwa sherehe za 58 za sikukuu ya Madaraka kaunti ya Kisumu huku akizomea idara ya mahakama kwa baadhi ya maamuzi yake. Rais Kenyatta akikosoa uamuzi wa punde wa majaji watano kuhusu mchakato wa BBI akisema umekatiza tamaa za wakenya wengi kubadili mengi. Na kama Stephen Letoo anavyoarifu kutoka Kisumu, siasa za uchaguzi pia zilishamiri.

supply

pardasi65

pardasi65

Leave a Reply

%d bloggers like this: