| SITARA YA DHULUMA | Uhifadhi wa wanaodhulumiwa kimapenzi

| SITARA YA DHULUMA | Uhifadhi wa wanaodhulumiwa kimapenzi

Watch this video on YouTube.

Kila mara mwanamke anaporipotiwa kuuawa au kujeruhiwa vibaya na mpenziwe, wengi huuliza mbona hakuondoka? Na huku idadi ya visa vya dhuluma za kijinsia vinavyoripotiwa vikiongezeka swali sasa ni je, wanaodhulumiwa huenda wapi? kwenye makala maalum ya SITARA YA DHULUMA, Mashirima Kapombe anatuarifu kuhusu makao ya muda yanayowapa hifadhi wanawake waliodhulumiwa.

supply

pardasi65

pardasi65

Leave a Reply

%d bloggers like this: