Ujenzi wa kiwanda cha samaki cha Liwatoni Mombasa wasitishwa

Watch this video on YouTube.

Ubabe wa kudhibiti mradi wa mamilioni ya pesa wa kiwanda cha samaki kaunti ya Mombasa na madai ya ufujaji wa pesa umesambaratisha mradi huo. Tume ya kukabiliana na ufisadi nchini eacc sasa inachunguza jinsi kandarasi hiyo ya shilingi bilioni 1 ilivyotolewa. Mradi huo umekubwa na utata huku maafisa katika wizara ya shughuli za umma wakizozana kuhusu udhibiti wa mradi huo kiasi cha wao kupigana makonde. Na kama anavyoarifu francis mtalaki mmoja wa maafisa hao ameandikisha taarifa kwa polisi.

supply

pardasi65

pardasi65

Leave a Reply

%d bloggers like this: