Waumini wa makanisa wafurahia kulegezwa kwa kafyu

Waumini wa makanisa wafurahia kulegezwa kwa kafyu

Watch this video on YouTube.

Shughuli kwenye sehemu za ibada katika kaunti tano zilizokuwa zimefungwa zimerejelewa, siku moja baada ya rais Uhuru Kenyatta kulegeza masharti yaliyokuwa yamewekwa. Aidha, hoteli na mikahawa pia imeanza upya shughuli zake baada ya majuma ya kufunga biashara. Haya yanajiri huku watu 369 zaidi wakiambukizwa corona

supply

pardasi65

pardasi65

Leave a Reply

%d bloggers like this: